Monday, January 31, 2011

Kuna haja ya wasomi kubadilika katika hili

Na Kagusa Manjemu

Kadiri uelewa kuhusu mazingira safi unavyohitajika duniani ndivyo wasomi wanavyoogoza kwa kutojali mazingira yanayowalea. Chukulia mfano nyuklia na taka za viwandani zikiwamo sumu na moshi vitokanavyo na michakato ya kutenenezea bidhaa mbalimbali, vyote ni matokeo ya wasomi na harakati zao za maendeleo kisayansi na kiuchumi pia. Mnamo karne ya kumi na moja, si shahada ya Baolojia,Kemia au Fizikia iliyokuwapo, lakini si ukame wala ongezeko la hali joto lililowahi kuikumba Dunia...
Zifuatazo ni picha ambazo zinaonyesha uzembe dhidi ya utunzaji wa mazingira miongoni mwa wanafunzi wa Chuo kikuu kishiriki cha Tumaini Iringa.....


Kopo la kutupia taka likiwa na taka chache  pamoja na sababu kuwa kuna uhaba wa makopo haya

Sehemu isiy rasmi kwa taka ikiwa imesheheni makopo na taka nyingine





Eneo lenye mikusanyiko ya watu wengi kama hili la Cafe Hall, hakuna hata kopo moja la kutupia taka


Nani anayehusika na taka hizi zilizopo sehemu ambayo si sahihi?
Wasomi kubadilika ni lazima kwa sasa.. hakuna faida yoyote kimsingi itakayopatikana kwa wewe kuchafua mazingira unayoishi...

No comments:

Post a Comment