Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa akishangilia ushindi wa mpira wa miguu dhidi ya Naazarene University. Tumaini ilishinda 2-1 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Kenyata University. |
Kila Chuo kilikuwa na namna yake ya kushangilia |
![]() |
Moja ya jengo la chuo kikuu Kenyata-Kenya |
Timi mpira wa kikapu ya chuo kikuu Tumaini wakiwa mazoezini Naorobi |
Kitambo kidogo kabla ya kuingia uwanjani |
Kuuza sura kama kwaida |
Mdogomdogo kamaa!!!!!!! Ulaya |
Daaaa!!!!!! so tired bro. |
TUICo football team |
![]() |
Nairobi-Kenya |
Ushindi ni jadi yetu |
Kazi na dawa chief Lwanji |
Timu ya mpira wa kikapu ya wanawake katika mazoezi kabla ya kuingia uwanjani |
No comments:
Post a Comment