![]() |
| Rais John K. Juma akitoa ufafanuzi katika mkutano aliouitisha |
![]() |
| Godwin Kunambi ambaye ni Katibu Mkuu wa Serikali ya wanafunzi aliyefukuzwa kazi akipanda jukwaani kutoa ufafanuzi |
![]() |
| Kunambi akitoa vielelezo vya tuhuma za ufisadi wa serikali ya wanafunzi |
![]() |
| Kwa msisitizo zaidi |
![]() |
| Rais John K Juma akijiandaa kutoa utetezi wake |
![]() |
| Wanafunzi walipovamia ofisi ya rais |
![]() |
| Kunambi akijibu hoja za rais |
![]() |
| Mashuhuda wa tukio |
![]() |
| Kwa shauku kubwa |
![]() |
| John K. Juma akitoa tamko la kijiuzulu |
![]() |
| Mwandishi wa habari wa TBC, Lukra Zeno akichukua tukio |
| Kunambi akizungumza na wanahabari |
| Wakimtaka John K Juma atoke nje |
| Wakisubiri hatima ya John Kanyoro Juu ya utawala wake |











Thank you Tumaini News.
ReplyDelete