![]() |
kocha wa timu ya Iringa University College (IUCO) katika mpira wa kikapu akiwa anatoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko. (picha na Frank Kimaro) |
![]() |
Wachezaji wakiwa wanausubiri mpira katika fainali iliyofanyika katika moja ya kiwanja cha vyuo vishirikishi vya SAUTI ambapo SAUTI waliibuka vinara kwa IUCO. (picha na Frank Kimaro) |
![]() |
Captain wa zamani wa timu ya IUCO, Faki ali maarufu kama Q akiwa anatoa maelekezo kwa wachezaji wa IUCO. |
![]() |
Mashabiki wa timu ya chuo cha Iringa University College wakiwa wanashangilia ingawa walipoteza mechi hiyo baada ya kufungwa na Saint Augustine University of Tanzania. (picha na Frank Kimaro) |
![]() |
Mashabiki wa timu za mpira wa kikapu wakiwa wanaonesha ushabiki wao kwa kucheza nyimbo mbalimbali katika viwanja vya Ruaha University College(RUCO).(picha na Frank Kimaro) |
![]() |
Pamoja na upenzi wa mechi pia katika burudani ya muziki wapo, walishindwa kuvumilia pale DJ wa airtel alipowagongea nyimbo za ukweli baaada ya mechi. ( Picha na Shishira Mnzava) |
No comments:
Post a Comment