Saturday, February 26, 2011

Rais wa TUSO IUCo ajiuzulu

Ni baada ya serikali yake kutuhumiwa ufisadi

Rais John K. Juma akitoa ufafanuzi katika mkutano aliouitisha

Godwin Kunambi ambaye ni Katibu Mkuu wa Serikali ya wanafunzi aliyefukuzwa kazi akipanda jukwaani kutoa ufafanuzi

Kunambi akitoa vielelezo vya tuhuma za ufisadi wa serikali ya wanafunzi

Kwa msisitizo zaidi

Rais John K Juma akijiandaa kutoa utetezi wake

Wanafunzi walipovamia ofisi ya rais

Kunambi akijibu hoja za rais

Mashuhuda wa tukio

Kwa shauku kubwa

John K. Juma akitoa tamko la kijiuzulu

Mwandishi wa habari  wa TBC, Lukra Zeno akichukua tukio


Kunambi akizungumza na wanahabari 





Wakimtaka John K Juma atoke nje




Wakisubiri hatima ya John Kanyoro Juu ya utawala wake

1 comment: