Saturday, February 26, 2011

Rais wa TUSO IUCo ajiuzulu

Ni baada ya serikali yake kutuhumiwa ufisadi

Rais John K. Juma akitoa ufafanuzi katika mkutano aliouitisha

Godwin Kunambi ambaye ni Katibu Mkuu wa Serikali ya wanafunzi aliyefukuzwa kazi akipanda jukwaani kutoa ufafanuzi

Kunambi akitoa vielelezo vya tuhuma za ufisadi wa serikali ya wanafunzi

Kwa msisitizo zaidi

Rais John K Juma akijiandaa kutoa utetezi wake

Wanafunzi walipovamia ofisi ya rais

Kunambi akijibu hoja za rais

Mashuhuda wa tukio

Kwa shauku kubwa

John K. Juma akitoa tamko la kijiuzulu

Mwandishi wa habari  wa TBC, Lukra Zeno akichukua tukio


Kunambi akizungumza na wanahabari 





Wakimtaka John K Juma atoke nje




Wakisubiri hatima ya John Kanyoro Juu ya utawala wake

Wednesday, February 16, 2011

Michuano ya kuazimisha miaka 10 ya Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino yaliyofanyika Iringa

Baadhi  ya  wachezaji  wa  Iringa  University  College (IUCO)
na  Saint  Augustine University  of  Tanzania  (SAUTI)
wakichuana  vikali   katika Mashindano  ya  kuazimisha 
Miaka  kumi  tangu  kuanzishwa  kwa  vyuo 
vishirikishi  vya  SAUTI(picha  na  Joshua  Mlolere) 


kocha  wa  timu  ya  Iringa  University  College (IUCO)
katika  mpira  wa  kikapu akiwa  anatoa  maelekezo
kwa  wachezaji  wake  wakati  wa  mapumziko.
(picha  na  Frank  Kimaro) 

Wachezaji  wakiwa wanausubiri  mpira  katika  fainali  iliyofanyika 
katika  moja  ya  kiwanja  cha vyuo  vishirikishi   vya  SAUTI 
ambapo  SAUTI  waliibuka  vinara  kwa  IUCO.
(picha  na  Frank  Kimaro)

Captain  wa  zamani  wa  timu  ya  IUCO, Faki  ali  maarufu
kama  Q  akiwa  anatoa  maelekezo  kwa  wachezaji  wa  IUCO. 



Mashabiki  wa  timu  ya  chuo  cha  Iringa  University  College 
wakiwa  wanashangilia  ingawa  walipoteza  mechi  hiyo  baada
ya  kufungwa  na  Saint  Augustine  University  of  Tanzania.
(picha  na  Frank  Kimaro) 




Mashabiki  wa  timu  za  mpira  wa  kikapu  wakiwa  wanaonesha
ushabiki  wao  kwa  kucheza  nyimbo  mbalimbali  katika  viwanja
vya  Ruaha  University  College(RUCO).(picha  na  Frank Kimaro)


Pamoja na upenzi wa mechi pia katika burudani ya muziki wapo,
walishindwa kuvumilia pale DJ wa airtel alipowagongea nyimbo
za ukweli baaada ya mechi. ( Picha  na  Shishira  Mnzava)


Saturday, February 12, 2011

Timeless Valentine

This is a special Valentine day gift for all students of Tumaini University-Iringa 

Dedicate to all lovers in this valentine season.

As time goes by from year to year,
One thing is surely true, my dear;
Though decades come and decades go,
Just seeing you sets me a glow,

Time shifts my body; I start to sag,
When I pass a mirror, it can make me gag,
My joints all ache; I can hardly move,
Still a smile from you, and I'm in the groove,

Getting older can be a pain,
But with you along, I can't complain,
Despite the things that we go through,
I know I'll never stop loving you,


Your loving heart turns life to play,
As we laugh at time from day to day,
So I write this poem, and I'll hang my sign,
Saying, "Always Be My Valentine"





By Sixtus Bahati.

Mambo ya BACAT huko!! Kilwa

Matata, usidhrau dafu embe tunda la msimu

Acha wewe!1 utamu uko hapa


Mambo ya bahari ya Hindi

Nimeshapiga embe!! saaafi!!!









Da!! Neema umechoka!!!!!